SERIS FOUNDATION IMESHIRIKI KATIKA 21st ANNUAL ENGINEERS' DAY (EAD) TAR 5-6 SEPTEMBA, 2024

TAASISI ya Seris Foundation imeshiriki katika 21st Annual Engineers' day (EAD) ilioandaliwa na bodi ya wahandisi (ERB) tar 5-6 septemba, 2024.Lengo ni kuandaa nguvu kazi ya uhandisi kwa zama za akili bandia, Mafunzo na kuinua viwango vya wataalamu wa uhandisi.