SERIS FOUNDATION IMESHIRIKI KWENYE ERB MARATHON TAR 6 SEPTEMBA, 2024
TAASISI ya Seris Foundation imeshiriki kwenye MARATHON tar 6 septemba, 2024 ambapo mbio hizi za STEM zimeandaliwa na Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB).Picha ya tatu CEO wa Seris Foundation akikabidhi appreciation certificate kwa ERB kwa kushiriki katika youth in Engineering Forum 2024. Certificate imekabidhiwa siku ya kilele ya marathon.