SERIS FOUNDATION IMESHIRIKI KATIKA WIKI YA AZAKI (CSO) TAR 9-13 SEPTEMBA, 2024
TAASISI ya Seris Foundation imeshiriki Wiki ya AZAKI (CSO) Arusha hotel Mount Meru.Majadiliano ya namna AZAKI zitachangia katika dira ya Taifa 2050. Majadiliano haya Mgeni rasmi Prof Kitila Mkumbo Waziri wa Mipango na Uwekezaji ameshiriki.Picha ya tatu kutoka kushoto: Aidan Eyakuzo, Mkurugenzi Mtendaji wa TWAWEZA; Carolyn Kandusi, Afisa wa Programu ya Kikanda wa Segal Foundation; Philip Besiimiwe, Mkurugenzi Mtendaji wa Vidacom Tz; Frederick Msigallah, Wakili na Meneja wa Ujumuishaji wa Watu Wenye Ulemavu katika CCBRT; Aghassi Mkrtchyan, Kiongozi wa Programu wa Benki ya Dunia; na mwisho ni msimamizi, Dk. Josephine Kimaro, Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Ofisi ya Uwasilishaji wa Rais wa Zanzibar.